Kuuliza si ujinga, et wajamen android ndo nini?

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Kiukweli kwa siku za hivi karibuni nimekua nikisikia sikia hili swala masikioni mwangu kwa sana, sasa naombeni kuuliza mwenzenu kwani android ndio nini? mana naona hata washkaji wenzang wamenunua simu wananiambia hizi ndo simu za android na wanazisifia kwelikweli, licha ya hivyo pia kila nikitembeleaga jukwaa hili habari ndo hizo hizo cjui application za adroid zmefanyeje, mala android za huawei mala za samsung, wajamen heb na mimi mnitoe tongo rongo android ndo nini inakazi gani kwenye simu??!! mimi natumia ka-blackberry kangu 8520 sijui nayo inaandroid sijui haina....nawasilisha!!
 
Kwa kifupi Android ni mfumo wa unaotumika katika vifaa mbalimbali vya mawasiliano (Operaring System) kama simu, tablet computers n.k ila kwa ushauli tu kumpata mtu atakaye kuelezea kiundani zaidi si rahisi maana swali lako ni sawa na mwanafunzi kuuliza A ni nini? Nakushauli utumie mda kidogo tu kusoma mitandaoni utapata uelewa zaidi kuliko kusubili kuelezwa...
 
Kama umewahi kutumia kompyuta utakuwa unajua kuwa kompyuta yeyote ili ifanye kazi inahitaji kuwa na program kuu au program endeshi kwa kitaalam inaitwa operating system - os. Kama windows xp, vista, windows 7, ubuntu n.k. Sasa simu nazo ni kompyuta ila ni kompyuta ambazo zinatengenezwa maalumu kwa ajili ya mawasiliano hivyo nazo huhitaji os. Os za simu kama ilivyo kwa computer kubwa zipo nyingi kama iOs inayotumika kwenye simu za iphone, windows mobile inatumika sana kwenye baadhi ya simu za nokia, android ambayo ndo unaulizia inatumika sana kwenye simu za samsung galax, htc n.k.
 
Kwa sehemu nmewaelewa mkuu @HpHillary pamoja na mkuu iMind lakn pia naomba kuuliza kwan hii operating system ya android ina nini hasa ambacho ni kizuri na inautofauti gan na Os zingne kisi cha kua maarufu sn hv?
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli kwa siku za hivi karibuni nimekua nikisikia sikia hili swala masikioni mwangu kwa sana, sasa naombeni kuuliza mwenzenu kwani android ndio nini? mana naona hata washkaji wenzang wamenunua simu wananiambia hizi ndo simu za android na wanazisifia kwelikweli, licha ya hivyo pia kila nikitembeleaga jukwaa hili habari ndo hizo hizo cjui application za adroid zmefanyeje, mala android za huawei mala za samsung, wajamen heb na mimi mnitoe tongo rongo android ndo nini inakazi gani kwenye simu??!! mimi natumia ka-blackberry kangu 8520 sijui nayo inaandroid sijui haina....nawasilisha!!

badilisha jina mkuu
 
Kwa sehemu nmewaelewa mkuu @HpHillary pamoja na mkuu iMind lakn pia naomba kuuliza kwan hii operating system ya android ina nini hasa ambacho ni kizuri na inautofauti gan na Os zingne kisi cha kua maarufu sn hv?
android ni maarufusana kwa sababu source code yake ni huru nahii. inawezesha android kuendelezwa na wataalam mbali mbali. pia ni rahisi kutengeneza vitumizi yaani apps na zikawa bure kwa watumiaji. mfano baadhi ya games, na vingine kibao. free apps ndo zinaifanya android kuwa maarufu lakin pia urahisi wa kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
Nmekua mjinga kwa sekunde kisha mjanja daima asanteni wakuu kwa kunipa mwanga!
 
hmmm! msije mkaonekana wajinga ndo nyie aisee!

mbona mwenzenu kauliza mazuri tu afahamishwe?

Mr.genius kauliza maswali mazuri tu, badala ya watu kutoa majibu wanamwambia abadilishe jina, kwani genius anafahamu kila kitu? Lazima ajifunze! na kwa kuuliza haya maswali ndio kujifunza kwenyewe.

Mona Capital, iMind na Hp Hillary wamejaribu kutoa majibu badala ya kutaka jina libadilishwe?
 
Aisee...mna moyo sana wa kuwajibu hawa jamaa. Jinga kabisa.
Hili jukwaa is well respected with hot and intellectual topics, haya maswali angetumia sekunde kadhaa with very little clicks angepata majibu zaidi ya ushee! !! Ndo mana nasema mna moyo kumjibu huyu geneous ubwabwa. Wengine wanawatch the way jinsi ya kufungua sredi.
 
No need to panic!
English is azana Problema some times!
Anaweza ku google afu asielewe! Si unajua wazungu ndio wenye moyo sana wakufungua blogs et all kuelezea mambo kama hayo!
Na kwa Lugha yao ya kizungu!

Lakini wabongo Umbea , Udaku , Na mapenzi ndivyo vilivyo jaa kwenye Blogs zetu hizi!
 
snipa I like ur sreds
 
Last edited by a moderator:
Aisee...mna moyo sana wa kuwajibu hawa jamaa. Jinga kabisa.
Hili jukwaa is well respected with hot and intellectual topics, haya maswali angetumia sekunde kadhaa with very little clicks angepata majibu zaidi ya ushee! !! Ndo mana nasema mna moyo kumjibu huyu geneous ubwabwa. Wengine wanawatch the way jinsi ya kufungua sredi.

Bora umekuja.. vijana hawajui google kazi yake nini.. wakabe wakabe
 
Back
Top Bottom