Hii mi kwamba wameshindwa tu kukubaliana kwenye hoja ya healthy care kwa raia wao, kwenye bunge, na kule wakishindwa kukubaliana shughuli za kiserikali zinasimama mpaka wakipiga kura tena au wakikaa kwa maongezi na chama kingine wakakubaliana bac, inaendelea, kwa hiyo ofisi zote za kiserikali zimefungwa, yaani kama bongo hivi mawizara yote na halmashauri na serikali za mitaa n.k kwa kuwa wanalipwa kwa masaa wafanyakazi wa serikali wanapiga kelele kwamba wata survive vipi, i hope nimeeleza vizuri