Acha kiherehere.Ngoja wajuzi wa Jiographia na wenyeji wa huko waje
Makambako sio Wilaya mkuuHaya mkoa wa Njombe kuna wilaya ya Makambako, Wanging'ombe na Makete bila kusahau Ludewa.
Poa dogoAcha kiherehere.
Inapendeza unapokosowa ukatowa na jibu, Makambako iko wilaya gani?Makambako sio Wilaya mkuu
Ipo wilaya ya NjombeInapendeza unapokosowa ukatowa na jibu, Makambako iko wilaya gani?