pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Baada ya Lulu sasa ni wakati muafaka kama nchi kuanza kuchunguza kila kifo kinachotokea kwenye mahosptali yetu,,, nawahakikishieni kuna negligence kubwa sana kwenye mahospitali,,, marekani tuu wameshawahi kutoa taarifa kuwa idadi ya wagonjwa wanaokufa kwa errors ni kubwa Redirecting, leave alone mistakes
Hapa kwetu kila kifo huwa ni Kazi ya Mungu,,, tunamsingizia hata kwenye mambo ya uzembe na failures zetu. Na hakuna utaratibu au uzoefu katika kuscrutinize maamuzi ya madaktari nje ya hospitali (medical legal cases are left unchecked)
Tujipange, no one should be dying kwa sababu za kiuzembe, ikiwa ni pamoja na state negligence (kwa kushindwa kutoa vifaa na kuboresha vitendea kazi)
Sitaki kutoa ushuhuda,,, hili nawaachia wote waliowahi poteza ndugu kwa uzembe wa wazi.
Asalam aleykum