Kutumia Yatosha Airtel lazima Uwe na Salio kwenye Simu

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,307
4,585
Airtel acheni wizi!
Mimi nimeamua kununua kifurushi cha wiki kwenda mitandao yote. Ajabu nikipiga Simu naambiwa sina Salio la Kutosha.

Naambiwa ni lazima niwe na salio lisilopungua shillingi kumi kwenye simu, ili kutumia yatosha. Hizo taratibu za kijinga huwa mwazitangaza wapi? Mbona hamjaziainisha kwenye conditions za kujiunga Yatosha? Mnaboa
 
Back
Top Bottom