Kutumia wifi internet kwenye simu ya blackberry

Kutumia wifi internet kwenye simu ya blackberry

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Habari zenu wakuu wa mambo ya matechnolojia, naomba kuuliza steps za kuunganisha simu nyingne itumie internet niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia simu yangu aina ya blacberry mana nimejaribu nimeshindwa natumia simu aina ya blackberry curve 8520
 
Kwanjia ya wifi wewe ndio unapokea internet siyo kutoa.Kama cm yako ina hotspot unaweka on, mwenzako akiweka wifi on anaweza ku access internet toka kwako.
 
Back
Top Bottom