Kutumia Software ya Mobile Partner (Zantel) kupiga simu

Kutumia Software ya Mobile Partner (Zantel) kupiga simu

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,678
Reaction score
28,794
Ninatumia Software ya Mobile Partner (Zantel) kwenye masuala kujiunga kwenye internet...ila software hii ina/featurefunction/module ya kupiga simu (Call Module). Tatizo lake ukiingiza namba ya simu na kupiga namba hiyo kwa kubonyeza kitufe cha kupiga ,simu inaypigwa itaita na kikata mawasiliano kwenye simu iliyopigwa...bado huku kwenye software itaendelea kuonyesha Calling (ikimaanisha bado modem kupitia software hiyo bado ipo 'engaged' ) kujaribu kata kwa kulick C key ya hiyo software bado Calling inaendelea...na hapo lazima uifunge software hiyo kwa kulazimisha vinginevyo haikubali.

Mwenye utaalamu wa kuiboresha software hii...ili niweze kutumia bando vizuri zile za muda wamaongezi na internet connectivity naomba msaada.
 
Ni huawei hiyo?

Software ilitokana na modemu ya Zantel ila nimetumia kuunganisha modem ya zamani ya Zain (nilichokifanya nilibalidisha code ya Zantal na kuweka code ya Zain) kufanya connection ya modem ya zein na server husika. kwa kifupi ni Huawei.
 
.
Kwann usitumie software ya zain?
 
Nimedownload kama ulivyosema ila wakti inaintall update imenipa error code 12: Get device information failed
 
Nimedownload kama ulivyosema ila wakti inaintall update imenipa error code 12: Get device information failed

.
Kaka ungeomba kwanza maelekezo
.
Fanya hivi ingiza hiyo software ya modem iliyo ndani yake kwanza ndipo ufuate na hiyo....
Ila usiifungue na uiache mpaka itakapo maliza
 
.
Kaka ungeomba kwanza maelekezo
.
Fanya hivi ingiza hiyo software ya modem iliyo ndani yake kwanza ndipo ufuate na hiyo....
Ila usiifungue na uiache mpaka itakapo maliza

Kwenye WinRaR folder iliyonitumia kuna file moja tu lenye extesion ya .exe..., hiyo unayoniambia niingize kwanza ni ipi..!?
 
Kwenye WinRaR folder iliyonitumia kuna file moja tu lenye extesion ya .exe..., hiyo unayoniambia niingize kwanza ni ipi..!?

.
Ki copy chenye .EXE kwenye desktop
hayo mengine achana nayo angalia kina ki icon cha ukijani ukijani kikiwa kwenye desktop
.
Ila unapotumia hicho ki software usi run programs nyingine zozote..
.
Ila hakikisha ume install kile kiprogram kilicho ndani ya modem yako mana bila hivyo hicho nilichokutumia hakitaweza kuipata port ya modem yako....
.
 
....
Ila hakikisha ume install kile kiprogram kilicho ndani ya modem yako mana bila hivyo hicho nilichokutumia hakitaweza kuipata port ya modem yako....
.

Nimefuata mashart yote....nime'run' hicho ki'file' huku nikiwa nimefunga programs zote hata Antvirus ni li'pause' protection...sasa ki'update wizard' kilipofika step ya nne (4) kwenye download kimetoa messsage hii...'Error code:17, The wireless inserted is not Dashboard, Update can't continue.

Nafanyaje hapo mkuu...!?
 
Inamaana hiyo dashboard hai support modem yako mkuu
.
Jaribu na hizi apa chini
.
huawei Mobile Partner Dashboard
 
.
.

.
Jaribu na hizi apa chini
.
mkuu kwanza nashukuru sana kwa juhudi unazoonyesha kunisaidia...
pili nashukuru kwa hii latest Mobile partiner software...inavutia kuitumia...

Kwenye issue yetu.

Nimenstall hiyo setup mpya ikakubali...nikaitest kupiga kabla ya kufanya updating ikarudia tatizo kama la ile ya zamani... nikafunga programs zote...ni run lile file ulilonitumia jana...kilichotekea imenipa error code 12: Get device information failed

Mkuu...unajua natumia Window XP service pack 2....je hili laweza kuwa tatizo...?
 
Nimepata ingizo jipya la modemu za zantel, software ya modemu hiyo imetatua tatizo langu. Nawashukuru wote mlionipa ushauri wakati nikiangaikia tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom