Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,983
- 2,341
Wakuu habari za majukumu. Juzi katika mizunguko yangu nilipita mahali na nikaona jamaa mmoja anangalia video kutokea kwenye simu yake ya mkononi kwenda ukutani bila kifaa kingine chochote.
Simu yenyewe ilionekana ya kawaida tu ila ina tochi kwa juu kama nokia tochi na tochi hiyo ndiyo iliyokuwa ikitumika kuproject.Nilimchunguza jamaa ila akawa mgumu kutoa ushirikiano.
Mwishio nikaamua kurudi hapa kwa magreat thinkers nijue kama kuna application inayowezesha simu kufanya projection au ni simu maalum...Chief Mkwawa Mwl. RTC Njuwa Na wengine wanaojua hii mambo tafadhali.