Kutumia kifaa cha android kama decoder

Habar mkuu samahan iyo adaptor inapatikana maduka gan nimetafuta maduka mengi sijafanikiwa kabisa.,
 
fanya research ya mahali ulipo, kwa mwaka mimi natembea mikoa mingi sana na sijaona hata mmoja wenye speed ndogo unless unakaa wilayani

Chief mie niko morogoro maeneo ya chamwino kikazi net jau balaa ila nikiwa ofisini ipo ya kumwaga...huwa natamani nihamie ofisini..
Sijui nitumie njia gani
 
Kwa wenye 2g inafanya kazi???

Jaribu vodacom, 2g yao inakuwa na nguvu kidogo. Kama atleast utapata 25KBps (200kbps) kupanda juu unaweza jaribu iptv.

Zipo chanell around 160kbps hadi 200 ukizitafuta jaribu bahati
 
Jaribu vodacom, 2g yao inakuwa na nguvu kidogo. Kama atleast utapata 25KBps (200kbps) kupanda juu unaweza jaribu iptv.

Zipo chanell around 160kbps hadi 200 ukizitafuta jaribu bahati

asante..kingine chief nje ya mada naomba kujua ni namna gani naweza kuroot hiz simu zenye 4.4 and above maana najaribu kila root tool naona simu inagoma hiii solar 5
 


mkuu hio link inahitaji kusajili???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…