Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Pole na majukumu wanaJF pamoja na ufisadi wa Escrow
Naomba kufahamisha nawezaje kutumia kifaa changu cha android kama decoder kwenye tv, nina app moja nimeinstall katika simu nacheki mpira live na movies kibao je, ku a kifaa au namna naweza tumia badala ya kuangalia kwa kukodelea kwenye simu nikahamishia kwenye screen ya tv ????
Natanguliza shukrani za dhati kwa wataalamu wote
kipindi cha zamani cha symbian simu nyingi zilikuwa zinakuja na av cable au micro hdmi ili kuweza kuona content zako za simu kwenye tv ila sasa hivi oem wanaongeza tu processor na ram na kusahau vitu vya maana.
angalia simu yako kama ina micro hdmi kanunue huo waya halafu unganisha na tv yako. ila tv nayo inabidi iwe na hdmi pia.
ikiwa haina hdmi hapo itabidi utafute adapter toka micro usb kuja hdmi
adapter hio hapo juu na waya wa hdmi utaweza unganisha simu na tv
pia simu za kisasa na tv za kisasa zinakuja na technolojia mpya inaitwa miracast kama vyote viwili vinavyo unaweza kustream kitu cha simu kwenye tv bila waya,
Ungeanza kutwambia ni simu gani nA TV aina Gani?
Kama Simu yako ina support OTG lazima pia ina support HDMI basi waweza unganisha TV yako Flat na Simu lakini sidhani kama reso;ution itakua nzuri
Kwa nn usitumie Laptop uka stream mpira Live kwenye laptop afu ukai connect kwa HDMI au VGA kwenda kwenye TV ya Flat....
Site nzuri ambayo nimewai tumia na nikacheki mpira bila buffering ni goATD.Net - Watch Free Live Sports TV
Alternatively,najua Internet kwako sio shida mpaka unawaza ku stream mpira Online bila kujali b/w used basi nakushauri nunua Receiver kabisa zenye IPTV uta stream Bein sports bila shida kabisa na kwa bundle kidogo maana ziko optimized kutumia Bundle kidogo hapa hakikisha net ina nguvu na haina fluctuations sana
Pia kuna Android Boxes/Android laptops nazo zinakuja zikiwa loaded na IPTV kibao za kimataifa yaani kama net sio shida utafaidi sana Bein sports,Sky sports,CNN,BBC nk
Unajua Tanzania tumebaki nyuma sana kwenye haya mambo labda sababu mitandao ya Data nayo inatubania sana
Ila ki ukweli IPTV ni next best technology na alternative kwa satellite Pay TV
natumia galaxy note 3 mkuu, net now si unajua mitandao wanatubeba sana
natumia galaxy note 3 mkuu, net now si unajua mitandao wanatubeba sana
note 3 ina miracast kaka, kama una tv ya kisasa wala hutahitaji kitu eka screen mirroring on kwenye note 3 yako then eka miracast on kwenye tv then utaona fresh
note 3 ina miracast kaka, kama una tv ya kisasa wala hutahitaji kitu eka screen mirroring on kwenye note 3 yako then eka miracast on kwenye tv then utaona fresh
Ungeanza kutwambia ni simu gani nA TV aina Gani?
Kama Simu yako ina support OTG lazima pia ina support HDMI basi waweza unganisha TV yako Flat na Simu lakini sidhani kama reso;ution itakua nzuri
Kwa nn usitumie Laptop uka stream mpira Live kwenye laptop afu ukai connect kwa HDMI au VGA kwenda kwenye TV ya Flat....
Site nzuri ambayo nimewai tumia na nikacheki mpira bila buffering ni goATD.Net - Watch Free Live Sports TV
Alternatively,najua Internet kwako sio shida mpaka unawaza ku stream mpira Online bila kujali b/w used basi nakushauri nunua Receiver kabisa zenye IPTV uta stream Bein sports bila shida kabisa na kwa bundle kidogo maana ziko optimized kutumia Bundle kidogo hapa hakikisha net ina nguvu na haina fluctuations sana
Pia kuna Android Boxes/Android laptops nazo zinakuja zikiwa loaded na IPTV kibao za kimataifa yaani kama net sio shida utafaidi sana Bein sports,Sky sports,CNN,BBC nk
Unajua Tanzania tumebaki nyuma sana kwenye haya mambo labda sababu mitandao ya Data nayo inatubania sana
Ila ki ukweli IPTV ni next best technology na alternative kwa satellite Pay TV
Mkuu nimejaribu kwenda kwenye hiyo link uliyoweka, nimejaribu kustream hata BBC News imegoma, vipi nahitaji kuinstal kitu chochote kabla au ni nini?? Maana network yangu ipo so fast hapa
Nafikiri inabidi uwe na Browser tu
Na hii site mm sijawai kuielewa wame optimize vipi iwe fast hata cha kutofanya buffering hata kidogo
Yaani mm Youtube naweza angalia video ya 50mins ika buffer mara moja lkn site hii 90mins za match bila buffering
Nimefungua BBC1 inafunguka bila shida
Nafikiri changanya ushauri wa Chief hapo juu alokupa wakutumia Mini USB to HDMI
Vinginevyo kama hauwezi basi kuna option tatu hapo nimekutajia
1.IPTV receivers e.g srt 4922 ina bein sports zote bei yake 150,000/=
2.Laptop + Modem au Smartphone as Modem
3.Android TV boxes
Kazi kwako sasa
nina app moja nimeinstall katika simu nacheki mpira live na movies kibao
MKUU asante nimefanikia... kitu inateleza tu zaidi ya youtube
mkuu mbona haikubali....maana natumia sim
Mkuu Chief-Mkwawa nikushukuru sana kwa msaada wako, katika simu mirroring nimeweza paona na kuswitch on lakini katika tv sijaona miracast iko mahali gani, naomba msaada wa kuweza kufikisha mahali hapo. ahsante sana