kasambalakk
Senior Member
- Apr 2, 2011
- 126
- 17
habari wanajamvi,
nimenunua simu za vodacom lakni na shindwa kutumia data lain nyingine kwa sababu lain ambayo unatakiwa kutmia data ni voda nashindwa kupata uwezo wa kutumia data kwa laini nyingine,
naomba msaada wa maujuzi wa kutumia data kwa laini zote pia jinsi ya kuweza kutumia laini mbili bila kutumia laini ya voda nashukuru sana