Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,845
- 5,077
Mdharau asili hufa kikatili πKwa hiyo ninywe maji ya chura?Kubadeki!
Nilifanya haya uyasemayo usiku wa jana kuamkia leo, aisee wewe si mtu kwani ulitaka kuniua.KUTUMIA CHURA ILI KUONDOA UCHAWI
Kama unahisi umerogwa basi chukua chura akiwa hai alafu mchemshe kisha maji yake changanya kwenye maji ya kuoga kisha oga na mengine kunywa nusu kikombe
ubaya ubwela π€ͺ π ππ½ββοΈView attachment 3449815
KUTUMIA CHURA ILI KUONDOA UCHAWI
Kama unahisi umerogwa basi chukua chura akiwa hai alafu mchemshe kisha maji yake changanya kwenye maji ya kuoga kisha oga na mengine kunywa nusu kikombe
ubaya ubwela π€ͺ π ππ½ββοΈView attachment 3449815
Ww uliskia kinyaaaaππNilifanya haya uyasemayo usiku wa jana kuamkia leo, aisee wewe si mtu kwani ulitaka kuniua.