mkurugenzi mwenyewe mlarushwa
mkurugenzi mwenyewe mlarushwa
HahahahahahaNashauri hiyo mahakama ya mafisadi ipakwe rangi ya kijani na iwe na bendera ya ccm....maana mafisadi wapo ccm.
Namwomba Mungu muumba mbingu na nchi anijalie uhai na uzima nishuhudie, mafisadi wa nchi hii wakitupwa jela na kufilisiwa..... Bado naona kama hichi kitu hakitawezekana!!!
Only time will tell....
MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, amesema kuwa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wote wa ufisadi kwa pamoja kunaweza kusababisha nchi kuyumba.
Je Dr Magufuli akitumbua jipu nchi itayumba??
Pata habari kamili hapa ya jinsi serikali iliyopita ilivyotishwa na mafisadi
HOSEA: TUKIWASHTAKI WATUHUMIWA WOTE WA UFISADI NCHI ITAYUMBA ~ Kulikoni Ughaibuni
tatzo letu watz tuna ugonjwa wa usahaulifu sana km kuku vile...yn mijitu ishakengeuka tayar na kuiona CCM hii et ipo na itakuwa tofauti na CCM zingine hahaha
Watanzania aka Nyumbu ndo wataendelea kuwa chakula cha Mamba(CCM) milele cz of their stupid mindset