Kutuma parcel ulaya

Kutuma parcel ulaya

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,109
Reaction score
4,602
wakuu poleni na majukumu ya kila siku. Nilikua nataka kujua ni courier gani mzuri na kiasi gani cha pesa naweza tozwa kwa kutuma parcel kwenda ulaya.nitashukuru kwa kua najua humu nitapata ushauri mzuri toka kwa watu wenye uzoefu na hii mambo!
 
Ondoa shaka..tuma kwa dhl bei hinaendana na uzito wa kile hunachotuma..hiyo ndio njia salama.
 
bado tunaitaji majibu ya kutusaidia zaidi maana hata mimi nimependa hii thread

mwaka jana nilituma bahasha kubwa ikiwa na makaratasi kidogo. nililipa 82000 kwenda uingereza. hiyo ilikuwa ni kutuma mzigo usio wa haraka ambapo angeweza kupokea ndani ya siku tatu. kutuma kwa masaa inakuwa zaidi. kumbuka hiyo ilikuwa ni DHL. sijui kwa sasa
 
iyo ni elfu 82 au ulitaka kuandika 8200 kama hivyo mbona ghalama kubwa mmno , na hizo ni document tu je ungekuwa mzigo wa kilo mbili au tatu si itakuwa balaa mkuu
 
Back
Top Bottom