ku weka kama attachment mara nyingi inasumbua sumbua haswa kwa files za namna hii..kama unaweza tafuta file sharing website yoyote, fungua free account huko then unakuwa unaupload file yoyote unayotaka kushare na watu...ukisha upload you can just get a link from there na kuiweka au kumpa mtu yoyote yule akadownload vizuri, mimi binafsi natumia sana dropbox, coz its just drag and drop baada ya kuinstall!!