kasomee ualimu wa msingi kama umekosa sifa ya kusomea ualimu wa sek wa sayansi.zaidi ya hapo imekula kwako. ualimu wa msingi hawawezi kutosha daima,mpaka dunia inaisha
Things in this land are unpredictable, unaweza ukasomea ualimu wa msingi bado mambo yakawa magumu baadaye utashangaa keshokutwa wakisema waalimu wa sanaa tunawajiri shule za msingi mana tumewasomesha. In short no body knows about tomorrow