Kutoswa na baada ya miaka 18 kuja kuoona upya.

Kutoswa na baada ya miaka 18 kuja kuoona upya.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Leo nimesikia stori ya kuvutia juu ya Mahusiano na Mapenzi,kuna jamaa alimchumbia binti mmoja,lakini baadaye akatokea kijana mwenye fedha na kumuoa huyo binti na kuzaa naye watoto kwa muda wa miaka 18,huku kijana naye akioa,bahati mbaya huyo kijana mkewe alifariki dunia,pia kwa upande wa yule binti naye akaachika toka kwa mumewe.Wakakubaliana kuoana upya na mpaka leo wanaishi ni zaidi ya miaka 10 sasa,je ninyi vijana wa LEO mnaopenda KUGEGEDA kabla ya NDOA..Mnadhani mnaweza kuwa na upendo kama huu...? Wangapi wangekuwa na MOYO wa kijasiri kama huyu KIJANA wa kiume..?? Nyosha mkono juu nikuone..!@! Point of view ni kwamba je ikiwa wewe kijana wa kiume mwanamke alikutosa miaka hiyo,na kuolewa na Mme mwingine,baada ya kuachwa anarudi kwako na kutaka umuoe na muendelee kuishi wote kama mume na mke..!
 
  • Thanks
Reactions: keh
andika vizuri.
Kichwa cha stori,kimeeleza kutoswa na baada ya miaka 18 wakaoana,ndani umeeleza jamaa kakaa nae miaka 19 ndipo kaachika,inamaana huyu jamaa alichumbia mtu aliyekuwa na mme wake??MASWALI YOTE ULIYOULIZA NI RUBISH(takataka).
Unauliza tunaweza kuwa na moyo huo??Moyo upi???Mke kafa,huo ndio moyo unaousema?Demu kaachika,huo ni moyo???MAZINGIRA YOTE NI MAPENZI YA MUNGU,mazingira ya kusubiri mtu afe,mtu aachike wala siyo moyo,TENA HAKUWA ANASUBIRI ILA ILITOKEA TU,hakuna cha moyo wala nini,Angekuwa hakuoa anamsubiri yeye miaka 19 hapo ingekuwa sawa.
A RUBISH WRITING.
ondoa maswali,hayaendani na stori,na stori uiweke sawa kuhusu miaka
 
Kijana ni ZOMBI LA MDA MREFU sema hajastuka tu!
 
Kama ni rubbish kaa kimya,kwani lazima ucomment kila thread.? Acha u much know..!
andika vizuri.
Kichwa cha stori,kimeeleza kutoswa na baada ya miaka 18 wakaoana,ndani umeeleza jamaa kakaa nae miaka 19 ndipo kaachika,inamaana huyu jamaa alichumbia mtu aliyekuwa na mme wake??MASWALI YOTE ULIYOULIZA NI RUBISH(takataka).
Unauliza tunaweza kuwa na moyo huo??Moyo upi???Mke kafa,huo ndio moyo unaousema?Demu kaachika,huo ni moyo???MAZINGIRA YOTE NI MAPENZI YA MUNGU,mazingira ya kusubiri mtu afe,mtu aachike wala siyo moyo,TENA HAKUWA ANASUBIRI ILA ILITOKEA TU,hakuna cha moyo wala nini,Angekuwa hakuoa anamsubiri yeye miaka 19 hapo ingekuwa sawa.
A RUBISH WRITING.
ondoa maswali,hayaendani na stori,na stori uiweke sawa kuhusu miaka
 
Fantasy..................:coffee:.
Kama una mzigo abao unataka kuufaulisha kwa mtu... Utajiju
 
embu fikiri kwa makini kabla ya kuleta mada hapa sio kukurupuka tu
 
Back
Top Bottom