mimi na mume wangu tumeishi kwenye ndoa kwa miaka miwili sasa,tatizo ni kwamba tunapokua 6*6 anawah kupiz,baada ya goli moja anakua hoi hawezi kuendelea tena(goli la1 ni ndani ya dk3),na akimaliza analala fofofo ananiacha na hamu,nikimwambia anasema atajitahidi ila mambo ni yaleyale kila siku!na siku akitoka kazini kachoka ndo nahesabu mabati.naombeni msaada nifanyeje au kama kuna tiba maana nimechoka
....If you would win a man to your cause, first convince him that you are his sincere friend.
No man has a good enough memory to make a successful liar.
mimi na mume wangu tumeishi kwenye ndoa kwa miaka miwili sasa,tatizo ni kwamba tunapokua 6*6 anawah kupiz,baada ya goli moja anakua hoi hawezi kuendelea tena(goli la1 ni ndani ya dk3),na akimaliza analala fofofo ananiacha na hamu,nikimwambia anasema atajitahidi ila mambo ni yaleyale kila siku!na siku akitoka kazini kachoka ndo nahesabu mabati.naombeni msaada nifanyeje au kama kuna tiba maana nimechoka
Kama ni mnywaji mnunulie value au konyagi.
Kaushauri kangu: Muandalie mazingira ya mambo kisha mpikie mchunga au mchicha kichaa ale mchana jioni mpikie ugali samaki kisha baada ya kula mwache kama nusu saa mpe supu ya pweza kama inapatikana kama la mpe redbull baada ya nusu saaa watoto walale chumbani nyie mbaki hapo sebuleni.
Anza uchokozi lakini mwache yeye awe mchokozi zaidi muelekeze anyonye, ashike au aguse pale unapoamini utapata utamu ukweli ni kwamba ukiwa na ushirikiano utapz mara 2 kabla kuingiza nyoka pangoni. Baada ya yote mpelekee nyoka pango aingie kisha lisage rumba mwenyewe uatafaidi tu. La msingi ni kuhakikisha nyote mmejiandaa kisaikolojia siyo unampa mambo huku unamdai hela ya nguo, vitunguu vimeisha nk.
Mwisho humu hutaweza kupata ushauri ufaao fanya mpango kama upo Dar ni PM nitakuelekeza kwa makungwi professional uende wewe na mumeo kwa pamoja. All the best