Kutorejeshwa mikopo ya elimu ya juu tatizo ni waajiri si wakopaji!!


Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
472
Likes
220
Points
60
Age
38
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
472 220 60
Tutatafuta mchawi wa matatizo yetu hadi lini?
Swala la urejeshwaji hafifu wa mikopo ya Elimu ya juu ni la kujitakia tu. Mfano kuna ndugu yangu aliajiriwa 2010 mwajiri hakupeleka jina lake hadi hivi majuzi jamaa akaamua kuulizia bodi ya mikopo ndo akalipa mwenyewe, je wapo wangapi wa hivi?

Sheria zipo hakuna wa kutekeleza. Wafanyeni waajiri waseme waajiriwa wao ni nani na iwe lazima kupeleka majina kwenye bodi ya mikopo kabla hata ya kuanza kufanya kazi. Swali je wakipeleka huko bodi ya mikopo yatafanyiwa kazi hayo majina ?

Hii ndo Tanzania!
 

Forum statistics

Threads 1,236,744
Members 475,220
Posts 29,267,726