Kutopewa mshahara Kwa wakati

Ndubu

New Member
Joined
May 12, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi katika taasisis moja wapo inaratibiwa na HJFMRI hawa wamechelewesha mshahara ,

Mshahara wetu WA mwezi wa nne mpaka Leo hatujapata na tukijaribu kuuliza halmashauri ya mbeya inajibu payroll yetu ishawasilisha je hii ni haki , na kazi bado tunaendelea kufanya pasipo kulipwa sitahiki zetu za mwezi wa nne tunaomba utofikishie mamlaka husika na hata ongezeko la mshara tunazungushwa tukihoji hamna jibu wanalotupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…