Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,336
- 20,980
Ilianzia tetemeko La Kagera,Hela zao zikaliwa alafu hawakutembelewa
Swali la msingi kbs mkuu!Tungejua kwanza kwanini bosi hakuhudhuria msiba wa mfanyakazi wake huenda pia tungeng'amua kwanini hawakutokea hao wa upinzani.
Tofauti ni tofauti haijalishi bungeni, arusini wala mitaani. Wavuna walichopanda. Kwanza wanajivuna wao ni wengi, wanalalamika nini?Tunapo enda sio pazuri kabisa tutofautiane sawa ila sio kwenye misiba
Hatuna ujirani na m ccm.Wanafiki hawa, Kenya kwenye maelfu ya kilomita walienda alafu jirani anayeishi tu mita tano wameshindwa.
Uongozi wa JPM umeamua kuligawa taifa,bungeni nao wameshaanza ubaguzi wa kivyama,sishangai kwa sababu hata ndesamburo alivyofariki hakuna kiongozi wa serikali wala mwakilishi wa bunge sasa kubaguana huku kunahamia mitaani hapo ndipo nchi itaisoma namba kisawasawa,nyerere alituunganisha tukaishi kama ndugu leo JPM anakuja anatugawa si sawa lazima tulipinge hilo kiongozi anayetaka kutugawa sisi watanzania hafai kuwa kiongozi
Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Wasizike ili na wao wasizikwe. Tumezoea upande wa Lowassa kutokuudhuria misiba ya watu kwani hata ule wa Sitta hakwenda. Kama huwezi ukasamehe hata maiti itawezekana vipi kwa walio hai?Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Wabunge wa Upinzani hawakuhudhuria sababu ya woga waliogopa LOWASA mwenye chama kuwa atawaonaje wakienda msiba wa mtu alimkali kooni ripoti ya RICHMOND.Woga tu wa kumwogopa LOWASA ndio uliosababisha.Kila mtu anasema ohhooo uKIENDA lowasa atakuonaje? SHAURI YAKO.Wanamwogopa LOWASA kuliko kawaidaWaulize ccm,watakuwa na majibu
Huoni aibu?Hatutaki unafiki!! Kama wao hawakwenda kwa Ndesa....sio lazima na Wao waende kwa Mnafiki Mwakiembe!! Huyo Mnafiki sana matukio mabaya huwa yanafuatana bado lingine
Jpm pia ni Mbunge wa Upinzani? Au ulimuona msibani!Wabunge wa Upinzani hawakuhudhuria sababu ya woga waliogopa LOWASA mwenye chama kuwa atawaonaje wakienda msiba wa mtu alimkali kooni ripoti ya RICHMOND.Woga tu wa kumwogopa LOWASA ndio uliosababisha.Kila mtu anasema ohhooo uKIENDA lowasa atakuonaje? SHAURI YAKO.Wanamwogopa LOWASA kuliko kawaida
Mnaendaga kuzikaa? Hilo ndio swali. Kwa Ndesamburo Mlikuwepo? Unafiq huleta magonjwaWasizike ili na wao wasizikwe. Tumezoea upande wa Lowassa kutokuudhuria misiba ya watu kwani hata ule wa Sitta hakwenda. Kama huwezi ukasamehe hata maiti itawezekana vipi kwa walio hai?
Wabunge wa Upinzani hawakuhudhuria sababu ya woga waliogopa LOWASA mwenye chama kuwa atawaonaje wakienda msiba wa mtu alimkali kooni ripoti ya RICHMOND.Woga tu wa kumwogopa LOWASA ndio uliosababisha.Kila mtu anasema ohhooo uKIENDA lowasa atakuonaje? SHAURI YAKO.Wanamwogopa LOWASA kuliko kawaida
wanaenda kumpa pole yanini wakati alimwacha ICU akaenda kwa saida karoli?