[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani wewe na Zero IQ yako utaweza kweli.. Maana Kama Baba watoto hajafa Basi Uwe mvumilivu. Maana Hapo naona Umejibu kwa Kichwa Cha Chini si cha Juu
Mi nataka niguse tu siku moko asee nitemane nae[emoji3][emoji3][emoji3] duu ndo mnaanza tu kaanza na kuulizia kuhusu huduma dadeki.
Angalia kuna njia hazipitiki mara moja mkuu unaweza kuzama mazima ukaja humu kulia tukuchangie mtaji.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahaha eti upo tayari kunihudumia mimi na mwanangu? Aisee hapo habandui maana anajua suala la chakula lishakuwa solved
Viwanawe vyenyewe HIVi vipenda MAYONIZE... duuuuuh.... Akikutana na zero IQ ameumia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unaogopa nini mkuu?
Hongera kwa kutembeza kipenseli chako.Niambie mkuu ?