Kutongoza ni ngumu hasa ukiwa hauna hela

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
937
Reaction score
2,593
Ila jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
 
I let my watch talk for me ,my gut talk for me ,my car says hi shawty we can be friend?
 
Kweli bana ..
Kama mimi now ni millionea yaani nikimwambia mdada niamke hataki kabisa yeye ndio anaanza kusema

Why nikuamkie, mbona weww rika langu..
Vijana tutafute pesa

Suo pesa tutafute pesa kwa kuvuja jasho wakuu.
Ogopa pesa ya unaipata laini laini hiyo mbaya wakuu...
Stuka
 
Kwakwel vjana tunzen bikira ya sifuri
 
Hela laini kuipata ina madhara
 
Kuna mapenzi ya Nyumbani au ukiwa Chuo, Na kuna Mapenzi Ukiwa Umejichanganya Mtaani.
Upo kazingira yapi hapo ?

Unataka demu mwenye hulka zipi ?
Church girl, Beki tatu, Mfanyakazi, Mkaa kwako, mpanga geto?

Ukijua hizi Code tu, Utaelewa Demu gani kwako ni rahis kumpata. Simple. 😁
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…