Mkuu hili tatzo ni kubwa rafiki zangu kibao tu nawaona smart lakini ni waoga sana asee yaan duhNi kushindwa kujiamini tu mbele ya mtoto wa kike
waambie waache uogaMkuu hili tatzo ni kubwa rafiki zangu kibao tu nawaona smart lakini ni waoga sana asee yaan duh
Kibao tu maana inshu sio wanawake bali uwezo wa kujiamini na kumwaga sera kwa mtoto mzuri kama umemuelewa hasa kwa mara ya kwanza kama ndo umemuonaIv wanawake walivyo weng hivyo bado kuna watu wanapiga pull
So wewe huwa unapiga mgalala tu...safi lakiniIvi ukiwa umfatilii mwanamke ni kua una domo zege peke yake,
Coz mim sifatilii wanawake sio kwamba na domo zege hapana, ila nimeumizwa to the extent siwez kuamini kabisa,... So situation kama yangu does it apply na udomo zogo,
Hapana usiwe mtu wa kujudge sana,... Mi ua sitongozi, mi naamini kutongoza ni kua na uhusiano ama inakaaje, mi nikitaka mwanamke najua pa kumpata bila emotional attachmentSo wewe huwa unapiga mgalala tu...safi lakini
ofcorse.. mimi nawashanga vijana wa siku izi wakat kila kitu google inakueleza nenda ivi, fanya vile, pita kule, mwishi kazi.. ila usisahau PESA ndo dawa yao..Kutongoza si simple sana mtu unashindwaje kutongoza wakati wanawake wapo kwa ajili yetu
Mkuu hadi unaumizwa kiasi hicho unasubiri nn inabidi ujiongeze ukione mwanamke aeleweki kuna dalili YA kukuumiza unasepa faster ww sio unasubiri hadi upewe cha chemba..... Mm sijawai pigwa kibuti uwa ninawapiga tu au akiniwai nakuwa boya ninambembeleza akirudi namlia timing akijisahau ninamuwai Nampa cha chemba hapo tayari ninakuwa na kifaa kingine pembeniIvi ukiwa umfatilii mwanamke ni kua una domo zege peke yake,
Coz mim sifatilii wanawake sio kwamba na domo zege hapana, ila nimeumizwa to the extent siwez kuamini kabisa,... So situation kama yangu does it apply na udomo zogo,
Ilishatokea mara moja ikala pakubwa, ila siwez kukuelezea ukaelewa,..Mkuu hadi unaumizwa kiasi hicho unasubiri nn inabidi ujiongeze ukione mwanamke aeleweki kuna dalili YA kukuumiza unasepa faster ww sio unasubiri hadi upewe cha chemba..... Mm sijawai pigwa kibuti uwa ninawapiga tu au akiniwai nakuwa boya ninambembeleza akirudi namlia timing akijisahau ninamuwai Nampa cha chemba hapo tayari ninakuwa na kifaa kingine pembeni
Mbona hilo neno tulikuwa tunalitumia shule fulani mwanza wilaya fulani.So wewe huwa unapiga mgalala tu...safi lakini
Kila ndege hutua mti aupendao kujichua,uzinz vyote ni dhambiKweli naanza kuamini kua baadhi ya vijana kutongoza ni janga kubwa kwao na wengi wao wanajikaza kisabuni kumalizia hasira zao kwenye punyeto, na hili naliona ni janga kama lilivyo tatzo la ajira tu nchini. Wadau karibuni kwa maoni na mitazamo yenu mnadhani ni nini chanzo cha matatizo haya? N.b mimi si muhanga.