Kama umesoma kitabu cha Rich dad poor Dad. Mle kuna principle inaitwa 'The principle of persistance' Yaani kanuni ya ung'ng'anizi au kudumu katika jambo, hii ni kanuni kubwa sana na inafanya kazi kila mahala.Itumie utafanikiwa hata kana mwanamke malkia utampata tu.