Singo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,208 Reaction score 1,154 Nov 24, 2017 #41 Unaweza jua hata tabia ya mtu kwa macho tu
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,786 Reaction score 3,127 Nov 24, 2017 #42 melkiorysaranga said: Hii kitu ni hatari sana niliwahi kuipractice niliona balaa lake acha macho yana nguvu sana Click to expand... Yaaani! You have to experience it, to believe it.
melkiorysaranga said: Hii kitu ni hatari sana niliwahi kuipractice niliona balaa lake acha macho yana nguvu sana Click to expand... Yaaani! You have to experience it, to believe it.
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Nov 24, 2017 Thread starter #43 Singo said: Unaweza jua hata tabia ya mtu kwa macho tu Click to expand... Nikweli mkuuu
simba wa dodoma JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 930 Reaction score 1,022 Nov 24, 2017 #44 tatizo lipo kwenye kope zake mwembie anyoe utaweza kumtongoza
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Nov 28, 2017 Thread starter #45 simba wa dodoma said: tatizo lipo kwenye kope zake mwembie anyoe utaweza kumtongoza Click to expand... Nani wakunyoa sasa kama huja mdaka mkuu
simba wa dodoma said: tatizo lipo kwenye kope zake mwembie anyoe utaweza kumtongoza Click to expand... Nani wakunyoa sasa kama huja mdaka mkuu
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Jan 19, 2018 Thread starter #46 simba wa dodoma said: tatizo lipo kwenye kope zake mwembie anyoe utaweza kumtongoza Click to expand... Hahaha akinyoa sio tena unaemtaka mkuu
simba wa dodoma said: tatizo lipo kwenye kope zake mwembie anyoe utaweza kumtongoza Click to expand... Hahaha akinyoa sio tena unaemtaka mkuu
trapetico Member Joined Dec 14, 2017 Posts 21 Reaction score 16 Jan 19, 2018 #47 demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... We kiboko
demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... We kiboko
LAMOLAMO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 246 Reaction score 228 Jan 19, 2018 #48 Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... kuna wanawake daraja la 1 mpaka 6 hebu tupia picha ya mmoja kwanza tukushauri.
Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... kuna wanawake daraja la 1 mpaka 6 hebu tupia picha ya mmoja kwanza tukushauri.
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,293 Jan 19, 2018 #49 Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Unatumiwa na mapepo, wanakuwa wamekutuma kuwafuata hao wanawake ili kuwaangusha katika zinaa kuharibu mambo yao na mambo yako mwenyewe.
Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Unatumiwa na mapepo, wanakuwa wamekutuma kuwafuata hao wanawake ili kuwaangusha katika zinaa kuharibu mambo yao na mambo yako mwenyewe.
K KITUGA JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 529 Reaction score 615 Jan 20, 2018 #50 PesaNdogo said: Unatumiwa na mapepo, wanakuwa wamekutuma kuwafuata hao wanawake ili kuwaangusha katika zinaa kuharibu mambo yao na mambo yako mwenyewe. Click to expand... Kweli atakuwa na mapepo tu anawatesa dada zetu
PesaNdogo said: Unatumiwa na mapepo, wanakuwa wamekutuma kuwafuata hao wanawake ili kuwaangusha katika zinaa kuharibu mambo yao na mambo yako mwenyewe. Click to expand... Kweli atakuwa na mapepo tu anawatesa dada zetu
madia madia JF-Expert Member Joined Sep 30, 2017 Posts 717 Reaction score 701 Jan 20, 2018 #52 Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Inamisha macho Yako hawatalegea tena.
Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Inamisha macho Yako hawatalegea tena.
bosi bosi Member Joined Nov 20, 2017 Posts 6 Reaction score 4 Jan 20, 2018 #53 mimi mgeni kwa mara ya kwanza naandika hapa suala la kutongoza kwa macho siku hizi leo kesho tena ukifnya hivyo no unapata
mimi mgeni kwa mara ya kwanza naandika hapa suala la kutongoza kwa macho siku hizi leo kesho tena ukifnya hivyo no unapata
mahatmaxlla JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 956 Reaction score 1,553 Jan 20, 2018 #54 Macho na roho kuna connection...nazani kwaiyo unapo muangalia moyo wako unajieleza dhairi
kitororondo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2018 Posts 597 Reaction score 710 Jan 20, 2018 #55 weka kapicha ka hilo jicho nione kama lafaa kwa matumizi
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Jan 20, 2018 #56 punguza kulegeza na kurembua macho waachie mashangingi hiyo tabia....
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,764 Jan 20, 2018 #57 Kama mie