Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,190 Reaction score 17,621 Nov 21, 2017 #21 demi said: Nini cha kudanganyika hapo? Click to expand... Unaweza ukaliwa live mkuu ukikutana na watabe
demi said: Nini cha kudanganyika hapo? Click to expand... Unaweza ukaliwa live mkuu ukikutana na watabe
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,788 Nov 21, 2017 #22 Wgr30 said: pole mkuu haikuwa dhamila yako kuandika hivyo!! Click to expand... Nisamehe kama nimekukwaza, humu jf kuna wimbi la watoto wao kila SAA ni kupost ovyo
Wgr30 said: pole mkuu haikuwa dhamila yako kuandika hivyo!! Click to expand... Nisamehe kama nimekukwaza, humu jf kuna wimbi la watoto wao kila SAA ni kupost ovyo
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Nov 21, 2017 #23 mmmmmh..
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Nov 21, 2017 #24 demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... Nimekuzimikia bure yan daah
demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... Nimekuzimikia bure yan daah
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Nov 21, 2017 #25 unatongoza kwa macho na kula kwa macho... basi weka picha tuone hayo macho tuanze kujadili
yuclighty JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 676 Reaction score 325 Nov 22, 2017 #26 demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... 😡😡
demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... 😡😡
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,450 Reaction score 622 Nov 22, 2017 #27 Macho kama ya yuclighty
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Nov 22, 2017 #28 Siku jaribu kuvaa sun glass ( miwami ya jua) utaona tofauti
WinterSummer Member Joined Nov 5, 2017 Posts 37 Reaction score 32 Nov 23, 2017 #29 Macho hayadanganyi!! Over! Intelejensia.
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,099 Nov 23, 2017 #30 Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Ukiona hivyo basi ujue una macho na sura ya mama yako......
Wakuchanja said: Habari wanajamvi Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza. Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao? Click to expand... Ukiona hivyo basi ujue una macho na sura ya mama yako......
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Nov 23, 2017 #31 Macho yanauchawi hatari
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Nov 23, 2017 #32 demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... he!
demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... he!
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Nov 24, 2017 Thread starter #33 NAREI said: Siku jaribu kuvaa sun glass ( miwami ya jua) utaona tofauti Click to expand... Nitajalibu mkuu
NAREI said: Siku jaribu kuvaa sun glass ( miwami ya jua) utaona tofauti Click to expand... Nitajalibu mkuu
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Nov 24, 2017 Thread starter #34 demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... Tukutane kama kweli utaliwa kwa macho ili tuje na uzi mwingine
demi said: Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi... Click to expand... Tukutane kama kweli utaliwa kwa macho ili tuje na uzi mwingine
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,080 Nov 24, 2017 #35 macho is a powerful creature!
Ambilikisye anna JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 561 Reaction score 501 Nov 24, 2017 #36 Hii ya leo kali aisehh
B Baba Kenzo JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 224 Reaction score 150 Nov 24, 2017 #37 luckyline said: Wacha kwenye pesa afaidi vitamu, wewe kumaa na kupepesa makengeza. Click to expand... Tobaaaah
luckyline said: Wacha kwenye pesa afaidi vitamu, wewe kumaa na kupepesa makengeza. Click to expand... Tobaaaah
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,786 Reaction score 3,127 Nov 24, 2017 #38 WinterSummer said: Macho hayadanganyi!! Over! Intelejensia. Click to expand... Kuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes"
WinterSummer said: Macho hayadanganyi!! Over! Intelejensia. Click to expand... Kuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes"
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,190 Reaction score 17,621 Nov 24, 2017 #39 MERCIFUL said: Kuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes" Click to expand... Hii kitu ni hatari sana niliwahi kuipractice niliona balaa lake acha macho yana nguvu sana
MERCIFUL said: Kuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes" Click to expand... Hii kitu ni hatari sana niliwahi kuipractice niliona balaa lake acha macho yana nguvu sana
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,786 Reaction score 3,127 Nov 24, 2017 #40 talentboy said: macho is a powerful creature! Click to expand... So Powerful!! The "look" can say a thousand words - hakuna haja ya kujieleza
talentboy said: macho is a powerful creature! Click to expand... So Powerful!! The "look" can say a thousand words - hakuna haja ya kujieleza