Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
Acha kurembuaHabari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.
Swali laja huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?
Itakuwa kweli mkuuEye seduction inafanya kazi kama sumaku endapo unaijulia...Leonard DiCaprio anaijua vizuri hii mbinu
Simple tu mkuuukuna mmoja namlia timing nashindwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipendaNapenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
nitumie jicho lako basi[emoji4] [emoji4]Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
pole mkuu haikuwa dhamila yako kuandika hivyo!!Wacha kwenye pesa afaidi vitamu, wewe kumaa na kupepesa makengeza.
Aaaah,,,,wapi jidanganye hivo hivoNapenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
Nini cha kudanganyika hapo?Aaaah,,,,wapi jidanganye hivo hivo