benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,066
Kwa kweli sikuwai kufikiria kutongoza kizungu ni ngumu hivi.......Ben jana nimeingia pasipoingilika.....binti anamwaga ngeli kama hana akili nzuri......nilijuta maana hasara niliyoipata ni kubwa kwakweli.
Aliponiacha hoi ni pale aliponiita jina langu nikafikiria labda sijui kaniambia nini vile.......yaani hiyo Benteke inavyotamkwa kwa kweli sikujua ni mimi ananiita....yaani kama anataka kuumeza ulimi wake mwenyewe na kuutapika hivi.
Mwishoni ananipa maujiko eti Ben uko cool.....kumbe ni kwamba tu sijui niongee nini.
Nilikua naitikia tu. Kha!