Kutongoza kizungu ni ngumu jamani...asikuambie mtu

Kwangu mimi kumsomesha bint ni rahisi kuliko kiswahili, kuna maneno meengi mazuri na mazito kwa kizungu, ukiyabadirisha kiswahili hayana mvuto.
 
Sasa ugumu uko wapi? Au wewe div 5?
I love u, i need u, i want u, merry u please, sex, unasema i love u, akijibu i love u 2, jua umemkwaa, na wewe mjibu i love u 3.....
 
ingekuwa mwananmke anatongoza angesema - hii ilitokea zamani mtaa wa ohio
My milk is standing
 
Back
Top Bottom