Anaesema zamani sio raha afeeee!
Mi nilipenda tulivyokua tunawasiliana, mtoto alikua geti kiasi flan, afu ukimuona wako nyomi, mara yuko na maza or faza wake duh! Sasa mi nilikua sichoki kujipitisha kwao, na nikimkwaa tu lazime aniibe, natembea hafu kama najipiga kisigino cha mguu kwa mkono, natulia mbele, mtoto uyooo. Hata kama kabanwa alichopoka tu. Aaaaaa! Zamani rahaaa!