Habarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu?
Kuna mda hadi naogopa, ujasiri wa kukataa hakuna Mungu huwa mtu unautoa wapi?
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Kuna vitu vya kuviletea UTANI ila sio uwepo wa MUNGU, Kama hauamini uwepo wake basi ni vyema kuwa silent ila sio KUPOTOSHA yakuwa hayupo.
Hivi ujasiri wa kusema MUNGU hayupo mtu unakuwa nao vipi au sisi wengine TUNAE MUAMINI ni waoga?
Hayo mambo uliyotaja watu hajachagui. Uwe na imani ama usiwe nayo utakumbana nayo tu.Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Means hujawah kuamin kbsa uwepo wake mkuu??Mimi pia najiulizaga hivi watu wanaosema wana amini Mungu na kudai wameshuhudia miujiza wanakuwaga serious kweli or they just fooling around?
Kila kitu kipo wazi ila bado kuna mafuvu ni magum[emoji23][emoji23][emoji23]Zaburi 53:1, inasema MPUMBAVU usema moyoni hakuna MUNGU, Kwa hiyo usiangaike nao hao ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine.
Naomba mchango wako mkuu, ujinga ni upi na ujanja ni upi ??Haya mambo haya yana ujinga na ujanja mwingi sana
acha uwongo basi,binadamu wa toleo la kwanza cain alikua anaongea hadi na mungu(bible)lakini alimuua ndugu yake,je nayeye hajui kama mungu yupo?Utu wake uko wapi?Watu ambao hawamuamini MUNGU, hawafai kuanzia kwenye ngazi ya kifamilia mpaka ya kitaifa na kimataifa.. sio wa kuwaamini kabisa.
Ukiwa na imani ya MUNGU.. Moja kwa moja inakujengea hofu ya kufanya mambo maovu. Hivo unajichunga wewe kama wewe kuhakikisha huwakosei binadamu wenzako. Na hapo utu ndo unapojengeka
Mkuu una uchungu kinoma [emoji23][emoji23]Nyie watu wa dini sijui mna akili za namna gani kwanza sio wavumilivu kwa wale wasio kubaliana na mafundisho yenu.
Mnapenda kuforce watu wote wawe kama nyie kuishi, kufikiri na kutenda.
Halafu wanafiki sana nyie sijui mafundisho yenu ndio yana haya maujinga ni watu mlio na tabia za kijinga zisizo vumilika.
Kwa mfano wewe hapo watu wasiopo muamini sijui huyo Mungu wako wewe unaathirika nini ? mbona wasio amini wapo ok ila wewe ndie unashwa na kugadhabika wasipo muamini huyo Mungu wako ?

Naye atakubariki, mwombaye kwa imani HUPEWA; akiwa akitiye kwenye kiti cha enzi AMEPENDEZWA[emoji3578]Daima nitwamwamini.nisamehe Mungu uasherati na ulevi
Naomba nikumbushe mkuu, alinena yepi ??Mwl Nyerere alimwambiaje vile Mao Bab wa taifa la China lilipokuja swala la Mungu?
Matendo ya Mungu si ya mwanadamuHabarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu?
Kuna mda hadi naogopa, ujasiri wa kukataa hakuna Mungu huwa mtu unautoa wapi?
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Kuna vitu vya kuviletea UTANI ila sio uwepo wa MUNGU, Kama hauamini uwepo wake basi ni vyema kuwa silent ila sio KUPOTOSHA yakuwa hayupo.
Hivi ujasiri wa kusema MUNGU hayupo mtu unakuwa nao vipi au sisi wengine TUNAE MUAMINI ni waoga?
Je, ni POWER ipi hyo mkuu. Tueleze hakuna mwanadamu ajuaye yte[emoji3578]Kuna Power kubwa iliyoumba ulimwengu na kuvipa uhai vyote vilivyo hai,lakini sio hiyo miungu ya kwenye vitabu vyenu,hiyo ni miungu mliyojitengenezea kwa malengo na matakwa yenu ya upumbafu na ujinga.
Nijuavyo mimi hakuna uhusiano kati ya Mungu na miujiza hiyo ni misconception ya wasiolewa dhana nzima ya Uungu wa MunguMimi pia najiulizaga hivi watu wanaosema wana amini Mungu na kudai wameshuhudia miujiza wanakuwaga serious kweli or they just fooling around?
Je, sisi asili yetu ni ipi ??Hakuna Mungu/mungu kwa maana ya sifa na tabia mlizozianisha kwenye vile vitabu vyenu.
Hakuna Mungu/mungu kwa aina ya vitisho mnavyowatishia watu
Hakuna Mungu/mungu kwa sababu sababu Hana athari kwenye maisha yako wewe, vizazi vyako na Taifa kwa ujumla.
Ndio maana ikaiwa Imani tu
Binadamu aliumbwa na MUNGU au Mungu alimuumba mwanadamu. Naona kama upatisho wa kisarufi haujakaa sawa kwenye andiko lako mkuu, ukiwa na maana ip?Hapo mwanzo binadamu alimuumba Mungu.
Viongozi wa hizo Dini na waumini Wao, wanalijiua Hilo , Ila wanajitoa ufahamu, eti ilikuwa ni Kazi ya kidini , dini Gani inahalalisha mauwaji Kwa binadamu wenzakeCrusades (1050 - 1300), Inquisition (12th to 13th century), ISIS, Al-Shabaab, Boko Haram, Wakatoliki na Waprotstanti wa Northern Ireland, Wahindu na Waislamu wa India. Hao wote wamefanya unyama wa ajabu dhidi ya binadamu kwa kutumia jina la Mungu.
Mara zote ukimuamini MUNGU unakuwa huru, unajiamini na unakaa mbali na aina zote za uasi.Watu ambao hawamuamini MUNGU, hawafai kuanzia kwenye ngazi ya kifamilia mpaka ya kitaifa na kimataifa.. sio wa kuwaamini kabisa.
Ukiwa na imani ya MUNGU.. Moja kwa moja inakujengea hofu ya kufanya mambo maovu. Hivo unajichunga wewe kama wewe kuhakikisha huwakosei binadamu wenzako. Na hapo utu ndo unapojengeka
Nami nasubiri, aseme kitu.C useme mkuu sio kila mtu anajua