Kutolewa kiantena

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,337
Reaction score
7,757
JF!
Nimetafakari kidogo,wadada wengi ambao wapo above 25 makabila karibiia yote wamekeketwa maana hii vita ya ukeketaji imeanza kama miaka kumi iliyopita,Nikisema miaka kumi namaanisha vita ya ukeketaji imeanza kuwa serious miaka kumi iliyopita kwa hyo perceny kubwa ya wadada ambao wako above 18 wengi wamekeketwa,Kitu cha kunishangaza ni kwamba.Najiuliza inakuwaje hawa wanawake wanalalmikia ukeketaji wakati wanakeketana wenyewe?Au hivi viantena vinawakera wao wenyewe?Nipo huku karatu kuna watu najadiliana nao wengi tu wanaume kwa wanawake wadada kama watatu wameniambia wao wenyewe wamekeketwa,na wanaume wananiambia mademu wengi huku hawana kiantena.Kwa nini mnakeketana?au kile kidude ni kero?Hii vita ya ukeketaji ni sisi wanaume mara nyingi ndio tunaikomalia lakini nyie wadada wenyewe wala.Kwa wale waliokeketwa humu mjitokeze msione aibu na kujidai mnavyo wote.Msije na povu wala matusi leo jumapili.
 
Ngoja nikae mgumu sawa, ili kuongeza maarifa!
 
Niliwahi kumla mmoja wa hapa jf, mbona mtamu ingawa anaona aibu mno alafu mvivu sana kwenye kujituma..
 
Ni mfariji kwani kafiwa?? Mbona kawaida mno, nilimpenda ila ndiyo hivyo sometime ni harddesire so mapenzi yetu yaliishia hewani..!
Faraja ni popote sio lazima msibani, kwa hio kukosa antenna ukasepa zako
 
Faraja ni popote sio lazima msibani, kwa hio kukosa antenna ukasepa zako
Hapana, kilitutenga kingine ni harddesire fulani, wala hajisikii mnyonge kiivyo na bahati niliwahi kukaa mara hizi mambo huko ni za kawaisa sana, hivyo sikuona hatari yeyote. Shida yake uharddesire duuh..
 
Hapana, kilitutenga kingine ni harddesire fulani, wala hajisikii mnyonge kiivyo na bahati niliwahi kukaa mara hizi mambo huko ni za kawaisa sana, hivyo sikuona hatari yeyote. Shida yake uharddesire duuh..
Hard desire umeniacha kdg, unamaanisha nn
 
Tena walio above 25 wengi sahau kukuta kiantena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…