Hili tatizo nimeshudia Kwa dada wa kazi, sehemu, akiamka asubuhi mto umerowa kabisa mwanzo nilikuwa siamini baadae nilipogundua kwamba ni kweli nilimuhurumia sana, sio la kucheka hili, fikiria kama yule binti Nani atakubali kuishi na.mke wa hivyo? Anayejua tiba ya kweli atoe itawasaidia wengi
Sent using
Jamii Forums mobile app