Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa na ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa na ndogo

Discussion in 'JF Doctor' started by Kinto, Sep 29, 2010.

 1. K

  Kinto Senior Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tuko field porini, rafiki yangu anatokwa na damu wakati wa kukojoa na wakati wa haja kubwa. Tumekwenda kwenye kituo cha afya wamechukua sample ya damu na wanasema majibu mpaka saa 12 jioni, na amechomwa sindano ya kutuliza maumivu. Naogopa kwa sababu kadiri muda unavyokwenda ndivyo jamaa yangu anazidi kunyong'onyea hasa wakati wa kwenda haja ndogo anaishiwa nguvu na anajisikia kama mwili wote unawaka moto. Kwa sasa tunafanya mawasiliano ili apelekwe kwenye hospitali kubwa. Naomba ushauri tafadhali
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ushauri gani zaidi ya kusubiri matokea ya vipimo au kumpeleka hospitali kubwa.
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pole hosptal is gud way
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Pole sana.

  Lakini kusubirishwa majibu mpaka saa kumi nambili jioni ni kama vile hao madaktari wanataka 'kitu kidogo'.

  Wapatie tu mjomba ili angalau upate majibu saa 6 mchana
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Unajua amefanya kipimo gani? Kama hujui acha kumpotosha na kuchochea utoaji wa RUSHWA. Kuna vipimo ambavyo huchukua hata wiki.
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mpe pole sana mgonjwa.............jitahidini kumpa first aid wakati mnasubiri majibu ya dokta...

  by the way uko porini mnapata wapi hospitali kubwa?
   
 7. K

  Kinto Senior Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashukuru, tunajitahidi kufanya tunaloweza ili apate nafuu, wasiwasi wangu ni kuwa pamoja na sindano alizochomwa hali inazidi kuwa mbaya with time...na kikubwa kilichofanya ni post hapa ni aina ya ugonjwa wenyewe ni kama wa ajabu hivi..naogopa. Tupo kwenye kituo cha afya siyo hospitali kubwa..wakati tunasubiri majibu tunafanya mawasiliano ili tuweze kufika Dar haraka.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Vip mgonjwa wako anaendeleaje?
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ur so rude jamani hata katika hili..anauliza yote haya kwakuwa anahitaji aone mgonjwa wake anapata nafuu.

  I can feel uchungu mgonjwa anaoupata na wewe unaoupata katika kuuguza.
  Pole muuguzi, pole na mgonjwa, natumai mgonjwa anaendelea vizuri.
   
Loading...