Tuko field porini, rafiki yangu anatokwa na damu wakati wa kukojoa na wakati wa haja kubwa. Tumekwenda kwenye kituo cha afya wamechukua sample ya damu na wanasema majibu mpaka saa 12 jioni, na amechomwa sindano ya kutuliza maumivu. Naogopa kwa sababu kadiri muda unavyokwenda ndivyo jamaa yangu anazidi kunyong'onyea hasa wakati wa kwenda haja ndogo anaishiwa nguvu na anajisikia kama mwili wote unawaka moto. Kwa sasa tunafanya mawasiliano ili apelekwe kwenye hospitali kubwa. Naomba ushauri tafadhali
Ushauri gani zaidi ya kusubiri matokea ya vipimo au kumpeleka hospitali kubwa.