Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,489
- 64,806
Wana changamoto nyingi sanaDaah kumbe h kitu ipo kweli, kuna demu wangu alikuwa anakwenda kwao (tunaweza tusionane tena 😭😭😭) akanambia ame-bleed kabla ya siku zake
Hizo hali ni kawaida kwa wanawakeHabari wakuu,
Nina mpenzi wangu ana hii changamoto, kila apatapo mshtuko tu, anaanza kutokwa damu ukeni. Alishaenda hospitali akapewa tiba, lakini naona tatizo linajirudia. Pia kama kuna hospitali inayoweza kumaliza hilo tatizo naomba mnielekeze.
Asanteni.
Na ndio maana hapa jwtz kikosi Cha mizinga hatuna demu hata mmoja *****. Ikipigwa katushya moja mademu nne kwa kila kumi hublid.Hizo hali ni kawaida kwa wanawake
Wengine huingia menstruation
Wengine hupata kizunguzungu
Wengine hupata pressure ya kupanda ama kushuka
Wengine hupata tumbo la kuhara
Wengine hutoa haja ndogo
Wengine huzirai
Na kwa hali ya kushangaza sana wengine hufika kileleni
We mwenyewe kuwa tu dame unachangamoto.Kuna watu wanachangamoto. Pole yake
Interesting!We mwenyewe kuwa tu dame unachangamoto
IndeedWe mwenyewe kuwa tu dame unachangamoto.
Labda ni kawaida ajijenge tu kisaikologia kua asiwe anashtuka.Habari wakuu,