Kutokua na wivu

Kutokua na wivu

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
Wajameni hii imekaaje mtu ana mke na anakua na kamchepuko bt hana wivu na mchepuko kabisa anamruhusu kuwa na mpenzi wake bt anataka amjue na awe mmoja tu.Je hapo kuna mapenzi kweli
 
Ushasema mchepuko. Wivu wa nn kwa mchepuko wakat ni mtu Wa kupita tu. Wa ukweli kamtuliza ndani kwake
 
mchepuko wivu wa nin labda kwa anayechepukiwa
 
Back
Top Bottom