Kutokua na katiba mpya ndio chimbuko la kila kinachotokea sasa

Hakuna mwanadamu awezae kuwa Salama nyakati zote,Salama pekee ni historia yako uliiishije na jamii.Leo Kabila na waandamizi wake wanaogopa awawezitembea huru ulaya au USA. Mkuu wa majeshi wa Kabila Didier Etumba alichezea kichapo Kwa dk 10 aliposhuka station Paris Bila msaada wa askari ingekuwa stori nyingine, spika wa Kabila ashachezea kichapo na wacongoman alipozuru ulaya.Salama pekee ni kutenda haki kesho mfumo umekutupa huna mamlaka, huna nguvu ,huna walinzi ni rahisi kulipiziwa kisasi. Karma is a bitch.Wazee wa mabao wamechezea.
 
Kiuhalisia Nape kwa goli la mkono pamoja na January walitukwaza sana.Nafikiri hata wao wanajutia matendo yao sasa hivi!

Wamelipwa kadri ya walivotenda Mungu ameanzia chini then atamalizia waliomuumiza TL.Mbwembwe za waganga wa gamboshi simiyu au matambiko hazitowaokoa na kuteleza Kwa miti.
 
Akivunja katiba kwani atakaa madarakani milele?Akitokea si ana n.y.e.a debe yeye &co!
Unadhani hio Katiba ya wabunge itakayopitishwa Bungeni itasema hivyo ?, kutokana na uelewa wa wananchi na ushiriki wao katika issue kama hizi Katiba yoyote itakayopitshwa na hao minority itakuwa ni kwa manufaa yao wala kutakuwa hakuna jipya..., Same Script different Cast
 
Back
Top Bottom