Kutoka vipele kwenye uume

Inaweza kuwa secondary sphyills(Kaswende hatua ya pili)

Kacheki vipimo kama VDRL, then utapata matibabu
 
wana JF nisaidieni ...nilikuwa nappuuzia nilipo gundua kwenye ume wangu kuna vpele vigumu vdogo ambavyo nikivikamua vinatoa kama viitu vyeupe...... nini hiki jamani naombeni ushauri /ni ugonjwa gani huo? nnaweza kupona kabla ya kumuona daktar????
 
Vina muda gani?

Je umejihusisha katika ngono zembe siku za hivi karibuni?

Hivo vitu vyeupe vinatoka kama majimaji ama solid particles?
 
yeah

ni miezi mi3 tangu nigundue hili tatizo,,,,,na nilishawah kujihusisha na sexy kabla na baada ya kuhis tatizo maana nilipuuza nikajua vitaacha ...na ni vigumu kdogo na nikikamua vinatoa vitu vgumu vyeupe
 
wana JF nisaidieni ...nilikuwa nappuuzia nilipo gundua kwenye ume wangu kuna vpele vigumu vdogo ambavyo nikivikamua vinatoa kama viitu vyeupe...... nini hiki jamani naombeni ushauri /ni ugonjwa gani huo? nnaweza kupona kabla ya kumuona daktar????
Ni maradhi ya ugonjwa wa zinaa nenda haraka hospitalini katibiwe

Mimi hapo nlikua nachukua historia tu tabibu yu aja.

Cc: MziziMkavu, Riwa, Karucee
Mkuu hujambo lakini?
 
wana JF nisaidieni ...nilikuwa nappuuzia nilipo gundua kwenye ume wangu kuna vpele vigumu vdogo ambavyo nikivikamua vinatoa kama viitu vyeupe...... nini hiki jamani naombeni ushauri /ni ugonjwa gani huo? nnaweza kupona kabla ya kumuona daktar????

Nenda kamuone daktari, acha kuona haya wakati ulikuwa unapiga. Yango na yango mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ni miezi mi3 tangu nigundue hili tatizo,,,,,na nilishawah kujihusisha na sexy kabla na baada ya kuhis tatizo maana nilipuuza nikajua vitaacha ...na ni vigumu kdogo na nikikamua vinatoa vitu vgumu vyeupe

Weka wazi usaidiwe,ulijihusisha na ngono zembe? Swali hili limeulizwa hapo juu bw Madagadamdashi
 
Last edited by a moderator:
Yani upone kabla ya kwenda hosptal,sehemu nyeti bado unasubiri?! Jali mwili na afya yako,kamwone daktar
 
Back
Top Bottom