Picha nitaweka usiongope matunguri
Nimesha rekebisha mkuu...Mkuu crash nadhani ulilenga kusema benson kigaila na si nelson kigaila ambaye mkurugenzi wa mafunzo na ufundi makao makuu....kama ndivyo hakuna kinachoharibika kamanda tuko pamoja nai ktk kuweka rekodi sawa
Mkuu Tumbiri kumbe uko Masasi sasa hivi? Hebu tukitoka kwenye uzi huu tuambie lile timbwili la Gas asilia kati ya Kusini v/s Bagamoyo linazungumzwaje hapo Mkuti,mkomaindo nk?Mkuu Crashwise,
Heshima mbele Bro.
TUMBIRI (Masasi, Mtwara - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com