Kutoka Ughaibuni Tv show: Mnaboa!

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,281
10,794
Kuna kipindi kinaonyeshwa Chanel 10 na TBC wanadai wanahoji walio Ughaibuni lakini wameishia kuhoji mateja wa Durban.

Wanaelewa maana ya Ughaibuni? Hamna watu wa kuwahoji zaidi ya hao jamaa zetu wavaa kata k na wauza ngada maarufu?

Kuweni wabunifu japo kidogo tafadhali.
 
Kwani ni lazima kuitazama hiyo kitu?

Kuna kipindi kinaonyeshwa Chanel 10 na TBC wanadai wanahoji walio ughaibuni lakini wameishia kuhoji mateja wa Durban. Wanaelewa maana ya Ughaibuni? Hamna watu wa kuwahoji zaid ya hao jamaa zetu wavaa kata k na wauza ngada maarufu? Kuweni wabunifu japo kidogo tafadhali.
 
Waacheni itafikia siku watakuwa wameganda,maana kwa South Africa kunakuwa hakuna jipya saana,na wengi hawataki kuonekana kwenye TV,maana hata majina yao tu wamebadilisha.

Uandishi wa Habari ni Taaluma,lazim tu aende shule then ndio ujazie kipaji.Sasa kile kipindi sio rahisi kukiandaa kama anavyofanya huyo jamaa wa Lete nyingine.Asilinganishe Uswazi na kipindi hicho.
Tangu kaaza hajahoji wazungu wa South wanachukuliaje wahamiaji,yeye na wauza unga tuuu
 
Back
Top Bottom