Kutoka Tanzania ya Wapiga dili mpaka Tanzania ya wenye Bahati!

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Kweli ni mapenzi kwa bahite au ni woga wa kuonekana ameshindwa?

Kuumia sio lazima utoke damu na kutoka damu haina maana kuwa umeumia sana!!!

Kutamka kwa mdomo sio kiashiria pekee kuwa umeshindwa. Viko viashiria vingi ambavyo kimsingi hata usiposema kuwa umeshindwa watu watajua kuwa umeshindwa. Madhalani, unapokosa hoja ya msingi au unapojibu swali ambalo hukuulizwa na kuacha kujibu swali uliloulizwa ni kiashiria pia kuwa umeshindwa hata kama hujasema kuwa umeshindwa.

Maneno Hapana na Ndiyo ni majibu yanayojitosheleza ambayo wakati mwingine hayahitaji maelezo kwanini ndiyo au kwanini hapana kwa sababu kukishasema Hapana kifuatacho ni maelezo ya kukanusha na ukishasema Ndiyo, kifuatacho ni maelezo ya kukubali.

Sasa ikitokea umeulizwa ukwasi ulio nao hauendani na ujira wako, au una vyeti fake jibu ndiyo au hapana, wewe ukasema "kwa sababu ya vita ya drugs" then mwishoni husemi Hapana hiki pia ni kiashiria cha kushindwa hata kama hutasema kuwa umeshindwa.

"Kutoka Tanzania ya wapiga dili mpaka Tanzania ya wenye bahati, "the difference is the same"
 
Huyo analindwa na sizonje
 
Back
Top Bottom