Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
kutoka nje ya ndoa isichukuliwe kuwa ni kukutana kimapenzi na mtu mwengine asiye mke au mume uliyefunga naye ndoa...inaenda mbali mpaka "kutoa hata siri za ndani ya ndoa nako ni kutoka nje ya ndoa"...
na kwahili imethibitika kiana mama ndio wanao-ongoza kwa kutoka nje ya ndoa ..tafakarini kisha muchukuwe hatua.
kwa wanaume: mwanamke mmoja hatoshi, lazima tuwe na wa nje :eyeroll1:
kwa wanawake: figa moja haliivishi chakula :eyeroll1:
mmh,kwa style hii sitaolewa..lol
then jamii itakuita m,ala,aya. mwanamke lazima uolewe ili uheshimiwe.... lolmmh,kwa style hii sitaolewa..lol
Kutoka nje ya ndoa isichukuliwe kuwa ni kukutana kimapenzi na mtu mwengine asiye mke au mume uliyefunga naye ndoa...inaenda mbali mpaka "kutoa hata siri za ndani ya ndoa nako ni kutoka nje ya ndoa"...
Na kwahili imethibitika kiana mama ndio wanao-ongoza kwa kutoka nje ya ndoa ..tafakarini kisha muchukuwe hatua.
then jamii itakuita m,ala,aya. mwanamke lazima uolewe ili uheshimiwe.... lol