Umeona eeh...
Haya mambo ya nyumba za watu ni magumu; haikawii wakawa wamekubaliana na mumewe kuwa wife atafute wa kumridhisha kwingine.
Kuna watu waume zao jogoo hapandi mtungi kabisa sababu ya maradhi (hasa kisukari)...wengine wanaamu kulinda viapo vyao na kutulia ...wengine hawawezi ndio maana wanafanya wafanyayo.
Unaweza kwenda kusema kikakushuka...