Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,824
- 3,021
Shirika la uzalishaji na usambazaji umeme nchini Misri (Egypt Electricity Holding Company (EEHC) imezima huduma ya utoaji umeme katika mamlaka ya maji nchini humo kufuatana na mamlaka hiyo kushindwa kulipa deni (Bills) la muda mrefu sana.
Vile vile, The General Organization for Greater Cairo Water Supply (GOGCWS) mamlakha ya maji nchini humo, imesitisha huduma ya maji katika shirika la Umeme, kufuatia malimbikizo ya madeni na kusitishiwa huduma ya umeme na shirika la ueme nchini humo.
Africa.