Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Dr. Julie Makani of Muhimbili...
Dr. Julie Makani of Muhimbili...
mbona kimya sana daktari..ukikuwa shabiki mkubwa wa kiktwete..vipi huyu magu huko kimya
Niko na wewe mkuu, mtoa hoja hajatenda haki kwa kuweka picha za hao wamama (VICHWA) katika kujenga hoja yake.Mussolin5 huyo dada ni intellectual hasa. Kichwa. Google Julie Makani uone publications zake. Publications za heshima. Mbobevu katika sickle cell...
Niko na wewe mkuu, mtoa hoja hajatenda haki kwa kuweka picha za hao wamama (VICHWA) katika kujenga hoja yake.
Huyo ni my sister DR Julie Makani,yupo vizuri huyo dada,ni mtoto wa Marehemu Bob Makani na ni mke wa mtoto wa Iddi Simba