kwani wewe ulipoweka picha ya namna hii ulitegemea nini?
Mada za kuukashifu uislam zimezidi hapa jf siku hizi, siku moja kwenu nyingi. Na hii ni moja wapo mshana.
Nafkiri umenielewa..
David Harvey alichovaa huyu bibi ni vazi la kiarabu na hayo maandishi ni kiarabu tusihusianishe na dini tafadhali isije kutafsirika tunakashifu imani za wengineNaona kwenye picha Kuna maneno ya kiarabu ya kimuhamasisha ... Huyo bibi nae ameahidiwa mabikira 72 wa kiume.
David Harvey alichovaa huyu bibi ni vazi la kiarabu na hayo maandishi ni kiarabu tusihusianishe na dini tafadhali isije kutafsirika tunakashifu imani za wengine
Mkuu mshana jr Kila Mtu Anaruhusiwa Kutoa Maoni Kulingana Na Jinsi Anavyoyaelewa Mambo
Muislamu Yeyote Anaetumia Uislamu Wake Kuexercise Siasa Kali Ni Gaidi.Na Huu Ndio Ukweli Na Wala Sio Kashfa.
Tutaendelea Kuheshimiana Kwa Mambo Mengine.Lakini Kwa Matendo Yao Ya Kigaidi Hatuta Waonea Aibu.
Hata Humu Jf Kuna Waislamu Wanaotamani Kua Magaidi.Kwahiyo Tunawataka Waachane Na Mawazo Hayo Ya Kishenzi.Kwasababu Ugaidi Ni Ushetani
Karibia 90% Ya Vikundi Vya Kigaidi Duniani Kote Vinatumia Uislamu Kama Sababu Ya Kutekeleza Matendo Yao Ya Kigaidi.Na Huu Ndio Ukweli.Hakuna Sababu Ya Kuoneana Aibu Kukemea Vitendo Kama Hivi.Tukioneana Aibu Hatuwezi Kujenga Na Kukomesha Vitendo Hivi.
Kiepe Yai waweza kuwa sahihi lakini kijijini nilikokulia mimi na ndugu za waislam tuliokuwa nao hawakua hivi, tuliishi kwa upendo na kuheshimiana mno kati ya wakristo na waislam na kwakweli tulikuwa na mipaka kwenye dini zetu
Ya waislam yalibaki kuwa ya waislam na ya wakristo yalibaki kuwa ya wakristo, na pale ilipotokea kuwa kuna haja ya kualikana na kushirikiana tulifanya hivyo bila shuruti wala unafiki na kwa uelewano hasa
Hii mambo ya kubaguana na kuitana makafiri, wagalatia, magaidi, kuua kwa jina la dini, ni vitu vipya kwetu na kwa hakika vina lengo maalum lakini baya kabisa kwa Tanzania ijayo
My nauheshimu mchango wako...!!!! But trust me naongea toka rohoni Nina heshimu imani za wengine kwa kiwango cha juu kabisa na hii sikuwa na maana yeyote ya kuukashifu uislam, siwezi na sina faida nikifanya hivyo ndio maana nimejaribu kwa nguvu zote kuwazuia wale wote waliojaribu kuleta kashfa bila kujali imani zao
Unafiki wako tu.Unaleta picha ukifahamu kwamba itatumiwa kutukana imani za watu halafu una shed crocodile tears.Mbona huleti za maaskofu wa ki roman catholic wakilawiti watoto?Kujifanya diplomat wakati wewe ndio uliyesababisha hayo matusi. Hiyo picha ni mama mpiganaji wa kipalestina anayepigania haki yake.
Ngarna umekimbilia kunihukumu msimamo wangu uko wazi kwenye swala la UDINI na dini sijawahi kuwa mnafiki katika hiliMkuu wala sio stress.Nachukia unafiki kwa kuficha matendo kwa justification ya maneno mazuri. I respect you lakini haina maana siwezi kukukosoa unapofanya makosa na vice versa.
Tatizo unaendelea ku justify ulichokifanya inawezekana bila kukusudia. Nikiweka picha ikiwa na vazi la dini husika kwenye jukwaa ambalo kwa muda sasa limekubuhu kwa kukashifu na kukejeli uislamu kwa maneno na picha utakuwa unategemea nini?Ili tusiendelee kulumbana naamini kwa dhati kabisa baada ya maelezo yako kwamba hukutarajia kwamba wajinga wata missuse picha uliyoibandika hapa. Ukimpa kichaa panga unategemea nini? Na vichaa wapo wengi JF.