Kutoka maktaba

Kusoma kuelewa kufaulu mbwembwe tu huyu dogo kadhirisha kuwa maisha hayana formula formula ni wewe mwenyewe
 
Bashite angeandika kitabu aiseeh jamaa anaonekana ana story kali sana.. sema hawezi kukiandika sababu mambo ya cheti akiyaweka yatazua taharuki.. labda asubiri akizeeka akiwa na miaka kama 90 ambapo atakuwa hana cha kupoteza ndio aandike kitabu atiririke mwanzo mwisho kutoka jina la Bashite hadi Makonda.

Title ya kitabu iwe ..A boy from koromije
 
Hila mchizi ka hustle, sijui katumia mbinu ipi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hila mchizi ka hustle, sijui katumia mbinu ipi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ...jamaa simpendi ila anaonekana ana bonge la story nyuma ya pazia.. sio rahisi kupata div 0 Tz halafu uka-rise hadi sehemu jamaa alipofika ( watanzania wengi tunaamini katika elimu ya darasani) jamaa atakuwa kapambana sana hadi kufika alipo.. atakuwa kapiga deals zote legal na illegal
 
Hizo deal muhim... Jigga alisema " ....dont be too nice... " ilikutoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…