jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Mkuu naona ulipita wakati unaenda MAFIA ktk mambo yako.....maana nyamisatii ni kijiji kimoja wapo cha wilaya ya rufiji kilicho na bandari(ila kibandari kadogo- local port) ya kwenda MAFIA.Nyamisatii
Point mkuu ili achague maisha anayoyataka yy kuishi huko badaeNi vizuri mtoto akajua aina zote za maisha
Duh Mshana mdogo wangu, ulisubiri nikue ili unitoe kwenye JF? Sawa bwana sasa nimekua ila maisha ndo yale yale na majani hayo ndo najifunika sasa baada ya kibanda changu kupigwa na tetemeko.
[emoji87] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Duh Mshana mdogo wangu, ulisubiri nikue ili unitoe kwenye JF? Sawa bwana sasa nimekua ila maisha ndo yale yale na majani hayo ndo najifunika sasa baada ya kibanda changu kupigwa na tetemeko.
Enzi zangu hizo, utanitaka sasa!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Tege la ham
Shule atasoma mkuu maana asijejua maisha ni kupanda school bus, kuchezea laptop na kuangalia movie tuKukata kuni na kuchota mbaya ila tuu shule aende